TAMASHA LA JUKANYE 

Tamasha la Kimataifa la Historia la Julius Kambarage Nyerere

Kuwatunuku Wazalendo na Mashujaa wa Kweli wa Afrika.

From 01/ September 2026  - 13 September 2026 - Arusha Tanzania

8
:
88
:
88
:
88

From 30/ August 2026  - 14 September 2026 - Arusha Tanzania?

8
:
88
:
88
:
88

Wito wa Ushiriki na ufadhili

 

 

Tunakaribisha ushirikiano na msaada kutoka kwa sekta zote na wadau mbalimbali ili kufanikisha tamasha hili la kihistoria. Ushiriki wako utachangia kuhifadhi historia ya ukombozi wa Afrika na kuhamasisha kizazi kijacho. Tunakaribisha:

 

  • Ushirikiano imara kati ya serikali na sekta binafsi

  • Msaada na ushirikiano kutoka kwa mashirika ya kimataifa

  • Ufadhili wa kifedha na vifaa kutoka kwa taasisi na watu binafsi

  • Ushiriki wa wadau wa vyombo vya habari na mawasiliano ili kufikisha ujumbe wetu kwa jamii pana

  • Ushiriki wa wanahistoria, wasanii, wanataaluma na vijana wenye shauku ya maendeleo ya Afrika

  • Ushirikiano kutoka kwa jamii za ndani na washiriki kutoka pembe zote za dunia