TUZO NA WALIOPENDEKEZWA

TUZO MAALUM ZA TAMASHA LA JUKANYE 2026

 

Kama sehemu ya matukio mbalimbali ya Tamasha la JUKANYE 2026, tutatoa Tuzo Maalum za Heshima kwa watu binafsi na makundi yaliyochangia kwa kiasi kikubwa katika harakati za ukombozi wa Afrika, utambulisho wa kitamaduni, na urithi wa uzalendo barani Afrika. Tuzo hizi ni pamoja na:

 

 

Tuzo hizi ni sehemu ya dhamira ya Tamasha la JUKANYE: kudumisha historia yetu, kusherehekea mashujaa wetu, na kuhamasisha vizazi vijavyo kupitia kumbukumbu, utambuzi na fahari ya kitamaduni.

 

Tuzo ya Ukombozi kwa Viongozi wa Afrika: Kutambua na kuheshimu viongozi wa Afrika waliopigania uhuru na umoja wa mataifa yao kwa ujasiri na kujitolea.

 

Tuzo ya Mama Afrika:  kwa Wanawake Waliochangia Ukombozi na Urithi Kuwatunuku wanawake waliotoa mchango mkubwa katika harakati za ukombozi wa Afrika na walioweka msingi wa maendeleo baada ya uhuru.

Tuzo ya Hekima kwa Viongozi wa Dini: Kuwatambua viongozi wa dini waliotoa mchango wa kiroho, kuhamasisha amani, na kusimamia maadili wakati na baada ya harakati za ukombozi.

 

Tuzo ya Heshima:  kwa Viongozi wa Kisasa wa Afrika Wenye Uzalendo Kuwatunuku viongozi wa sasa wa Afrika wanaoendeleza fikra za Uafrika, mshikamano wa bara, na maendeleo ya kweli kwa watu wao.

Tuzo ya Mshikamano wa Ulimwengu kwa Mataifa Yaliyoungwa Mkono Ukombozi wa Afrika


Kutambua mataifa nje ya Afrika, kama vile Urusi, China, na Cuba, ambayo yalitoa msaada mkubwa wa kisiasa, kifedha, na kijeshi katika juhudi za ukombozi wa bara la Afrika.

Tuzo ya Sauti ya Ukombozi – Muziki: Kuwatunuku wanamuziki wa Afrika na wa kimataifa waliotumia muziki wao kuunga mkono harakati za ukombozi wa Afrika, pamoja na wale wanaoendelea kuhamasisha uzalendo, mshikamano wa Afrika, na uelewa wa kijamii kupitia kazi zao za kisanii.

 

TUZO MAALUM ZA TAMASHA LA JUKANYE 2026

 

Kama sehemu ya matukio mbalimbali ya Tamasha la JUKANYE 2026, tutatoa Tuzo Maalum za Heshima kwa watu binafsi na makundi yaliyochangia kwa kiasi kikubwa katika harakati za ukombozi wa Afrika, utambulisho wa kitamaduni, na urithi wa uzalendo barani Afrika. Tuzo hizi ni pamoja na:

 

  1. Tuzo ya Ukombozi kwa Viongozi wa Afrika: Kutambua na kuheshimu viongozi wa Afrika waliopigania uhuru na umoja wa mataifa yao kwa ujasiri na kujitolea.

  2. Tuzo ya Mama Afrika:  kwa Wanawake Waliochangia Ukombozi na Urithi Kuwatunuku wanawake waliotoa mchango mkubwa katika harakati za ukombozi wa Afrika na walioweka msingi wa maendeleo baada ya uhuru.

  3. Tuzo ya Hekima kwa Viongozi wa Dini: Kuwatambua viongozi wa dini waliotoa mchango wa kiroho, kuhamasisha amani, na kusimamia maadili wakati na baada ya harakati za ukombozi.

  4. Tuzo ya Heshima:  kwa Viongozi wa Kisasa wa Afrika Wenye Uzalendo Kuwatunuku viongozi wa sasa wa Afrika wanaoendeleza fikra za Uafrika, mshikamano wa bara, na maendeleo ya kweli kwa watu wao.

  5. Tuzo ya Mshikamano wa Ulimwengu kwa Mataifa Yaliyoungwa Mkono Ukombozi wa Afrika 
    Kutambua mataifa nje ya Afrika, kama vile Urusi, China, na Cuba, ambayo yalitoa msaada mkubwa wa kisiasa, kifedha, na kijeshi katika juhudi za ukombozi wa bara la Afrika.

  6. Tuzo ya Sauti ya Ukombozi – Muziki: Kuwatunuku wanamuziki wa Afrika na wa kimataifa waliotumia muziki wao kuunga mkono harakati za ukombozi wa Afrika, pamoja na wale wanaoendelea kuhamasisha uzalendo, mshikamano wa Afrika, na uelewa wa kijamii kupitia kazi zao za kisanii.

 

 

Tuzo hizi ni sehemu ya dhamira ya Tamasha la JUKANYE: kudumisha historia yetu, kusherehekea mashujaa wetu, na kuhamasisha vizazi vijavyo kupitia kumbukumbu, utambuzi na fahari ya kitamaduni.

Liberation

In honor of your unwavering courage and visionary leadership that ignited the flame of Africa’s freedom.” “Your legacy of sacrifice and liberation shall forever shine as a beacon for generations to come. Kwa heshima ya ujasiri wako usiotetereka na uongozi wa maono uliochochea mwanga wa uhuru wa Afrika.” “Urithi wako wa kujitolea na ukombozi utaendelea kung'ara sasa na mpaka  vizazi vijavyo.”

Mama Africa

For embodying the spirit of resilience, bravery, and leadership in the face of oppression. Your unwavering sacrifice and motherly courage helped shape the path to Africa’s freedom. You are a shining light, a true daughter of the soil, and a pillar of liberation whose legacy will forever inspire generations across the continent.

Wisdom

Tuzo ya Hekima ya Ukombozi inatambua kuwa si silaha tu zilizopigania uhuru wa Afrika, bali pia hekima ya kiroho, maadili na msimamo wa viongozi wa dini waliokuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa kiroho, kijamii na kisiasa wa bara hili. Pumzika kwa amani, historia ya Afrika Imeandikwa, utaendelea kukumbukwa.

Honorary

For advancing the vision of a free, united, and progressive Africa – through wisdom, exemplary leadership, and patriotic courage. Your bold leadership has uplifted your nation and given Africa a renewed voice of hope and  transformation. You stand as a symbol of this generation’s leadership and a beacon of inspiration for current and future African leaders.

Global Solidarity

In recognition of your steadfast support, friendship, and unwavering commitment to the struggle for Africa’s liberation. Your solidarity transcended borders, affirming the shared values of justice, human dignity, and freedom. With deep gratitude, we honor your contribution to a new era of hope and self-determination across the African continent."

Music

Kwa heshima ya urithi wako wa muziki wa kipekee—uliotoa sauti kwa ukombozi wa Afrika, kuhamasisha umoja wa Kiafrika, na kuamsha uelewa wa kimataifa. Sanaa yako imesimama kama taa ya tumaini, haki, na roho ya kudumu ya Afrika huru na iliyoungana.